You may only be someone in the world, but to someone else, you may be the world.

John Doe

Service Times

MAELEZO KWA WASOMAJI A KALENDA HII
Katika kalenda hii unaona somo kwa kila siku. Masomo haya yametoka kutoka kwa Biblia Takatifu na yapaswa yasomwe kwa uangalifu na kwa unyenyekevu mbele za Mungu. Kwa hiyo unaposoma:
• Mwombe Bwana akutumie Roho Mtakatifu ili upate kulifahamu na kulishika neno lake huku ukijiuliza maswali kama haya:
a. Je, sehemu hii imekufundisha nini juu ya Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
b. Je, sehemu hii imekufundisha nini juu ya maisha yangu kama Mkristo, ina ahadi, mausia au maaonyo yangu?
c. Je, nimepewa maaarifa juu ya matendo ya mungu kwa ajili yangu?
d. Je, kiini cha somo ni kipi au maana yake kuu ni ipi?
• Umushukuru Bwana kwa jinzi alivyokufundisha katika somo.
Mungu akubariki katika kusoma
Kwa ufupi: Kwa urefu
AK . Agano la kale (Old Testament)
W . Waraka (Epistle lesson)
I . Injili (Gospel lesson)
BARAKA WA BWANA (Hesabu 6:22-27)
BWANA akubarikie, na kukulinda;
BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukudhili;
BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.
Kwa jina la Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.
Amen.

Latest from Flickr

Visit our Flickr Page

ELCK's Tweets

View our Twitter Profile